md4doctor2000
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 736
- 315
Yule mwanamieleka maarufu na kiongozi wa "Yes Movement" @WWEDanielBryan ametangaza rasmi kustaafu kucheza mieleka kutokana na sababu za kiafya. Kwa muda sasa hajapanda ulingoni kwasababu ya brain concussion na jana katika WWE Monday Night Raw ametangaza rasmi kustaafu mieleka. Source: Daniel Bryan on Twitter .
#ThankYouDanielBryan
#ThankYouDanielBryan