Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
mi mwenyewe loya kanitengenezea tego unadhani ningethubutu,kwa hiyo utakaribia na mkeo!kadi mtaletewa kesho home,karibuni sana!salam kwa wifi!
Huyo hapo juu msalimie.....
mi mwenyewe loya kanitengenezea tego unadhani ningethubutu,kwa hiyo utakaribia na mkeo!kadi mtaletewa kesho home,karibuni sana!salam kwa wifi!
Huyo hapo juu msalimie.....
mmmh!anaonekana mgomvi akhuu! mi simsalimii nisijetolewa ndonya bure nishindwe kurembeka jumamosi!