Dangote kuinunua the Gunners

Mohaa

Senior Member
Mar 26, 2016
110
112
Aliko Dangote mwenye umri wa miaka 58 raia wa Nigeria na ndo tajiri namba moja Africa mwenye utajiri unaokadiriwa kuwa wa 21,800,000,000,000 (trillion 21.8 za kitanzania). tajiri huyu ana mpango wa kununua club ya jijini London ya Arsenal kabla ya mwaka 2020. mnamo mwaka 2010 tajiri huyu alipeleka maombi ila yalikuwa ni yenye kukataliwa. tajiri huyu akifanikiwa atakuwa ni muafrica wa kwanza kumiliki club ya mpira katika ligi ya uingereza.

Source: Goal.com
 
Atakuwa mwaafrika wa pili, tuliambiwa Newcastle ni ya yule mvaa njiwa aliyekuwa Boss NSSF
 
Aliko Dangote mwenye umri wa miaka 58 raia wa Nigeria na ndo tajiri namba moja Africa mwenye utajiri unaokadiriwa kuwa wa 21,800,000,000,000 (trillion 21.8 za kitanzania). tajiri huyu ana mpango wa kununua club ya jijini London ya Arsenal kabla ya mwaka 2020. mnamo mwaka 2010 tajiri huyu alipeleka maombi ila yalikuwa ni yenye kukataliwa. tajiri huyu akifanikiwa atakuwa ni muafrica wa kwanza kumiliki club ya mpira katika ligi ya uingereza.

Source: Goal.com
Yaaani huyu jamaa ni jeuri sana. Ina maana ana hela karibu mara mbili ya makusanyo ya Tanzania kwa miaka miwili.
 
Back
Top Bottom