Majan JF-Expert Member Joined Jul 2, 2015 Posts 1,301 Reaction score 1,882 Nov 25, 2016 #21 mrangi said: Kiwanda mpk leo hii hajawekewa umeme.....alikuwa anatumia generetor ....hii Ndy nchi ya viwandaaazzzz banaaa OVA Click to expand... Duh asee hii inawezekanaje kiwanda kikubwa kama kile hakina umeme wa Tanesco
mrangi said: Kiwanda mpk leo hii hajawekewa umeme.....alikuwa anatumia generetor ....hii Ndy nchi ya viwandaaazzzz banaaa OVA Click to expand... Duh asee hii inawezekanaje kiwanda kikubwa kama kile hakina umeme wa Tanesco
samurai JF-Expert Member Joined Oct 16, 2010 Posts 11,478 Reaction score 24,250 Nov 25, 2016 #22 Production cost iko juu jamaa wanalalamika, mpaka sasa wanatumia diesel engines, matumizi ya diesel kwenye kiwanda kama hiki ni hasara tu..
Production cost iko juu jamaa wanalalamika, mpaka sasa wanatumia diesel engines, matumizi ya diesel kwenye kiwanda kama hiki ni hasara tu..
Makuku Rey JF-Expert Member Joined Dec 31, 2013 Posts 3,652 Reaction score 4,225 Nov 25, 2016 #23 imhotep said: Kuna kiwanda kinajengwa shinyanga,saruji itashuka tu. Click to expand... mi ninaishi mita 200 kutoka kiwanda cha saruji-mbeya(songwe) but cement nanunua tsh 15000!lakini cement hiyohiyo ya SONGWE inauzwa 14500 Iringa!najiuliza sipati jibu.
imhotep said: Kuna kiwanda kinajengwa shinyanga,saruji itashuka tu. Click to expand... mi ninaishi mita 200 kutoka kiwanda cha saruji-mbeya(songwe) but cement nanunua tsh 15000!lakini cement hiyohiyo ya SONGWE inauzwa 14500 Iringa!najiuliza sipati jibu.
M Mbwitombwito Member Joined Nov 9, 2016 Posts 19 Reaction score 6 Nov 25, 2016 #24 Bukoba elfu ishirini
ivunya JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 2,290 Reaction score 2,230 Nov 26, 2016 Thread starter #25 Mbwitombwito said: Bukoba elfu ishirini Click to expand... Ni hatari Sana huko bukoba hiyo bei karibu mifuko 2
Mbwitombwito said: Bukoba elfu ishirini Click to expand... Ni hatari Sana huko bukoba hiyo bei karibu mifuko 2
W wicklife Senior Member Joined Nov 8, 2016 Posts 120 Reaction score 81 Nov 26, 2016 #26 Mmmmh hii nchi tumelaniwa c bure
M mwasu JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 10,161 Reaction score 11,551 Nov 26, 2016 #27 Alidanganyika na habari za gass, hakutaka kuifahamu serikali ya ccm kuwa ni watu wa maneno mengi na utendaji sifuri, pole yake bwana Dangote.
Alidanganyika na habari za gass, hakutaka kuifahamu serikali ya ccm kuwa ni watu wa maneno mengi na utendaji sifuri, pole yake bwana Dangote.