Kuna kiwanda kinajengwa shinyanga,saruji itashuka tu.Karibu geita cement ni 18000. Still tunajenga
Sasa hivi naye ataambiwa ni mpiga dili, alizoea kukwepa kodi, Ana haribu mazingira nk..
Hii nchi ni ngumu jamani.
Geita maeneo gani? Taja na duka linalouza bei hiyoKaribu geita cement ni 18000. Still tunajenga