Mkuu kama ni kweli baba rizmoko na embe wana hisa basi itakuwa washampiiiiiiiiika Dangote vya kutosha si wanamjua JP,M in and out akifika ataongea mambo mataaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam kwa JP,M na mwisho Mhong na Mwijg wataonekana watu wa hovyo kabisaaaa! na from there itakuwa issue ya Dangote inaanzia Ikulu then wengine wanaambiwa watekeleze! naona kwa mbaaali chenkapa alivyofura na atakavyofura baada ya J,PM kutoa maamuzi ya mwisho ndipo atakapojua hela haina uraic mstaaf na kama namuona vile baba riz anavyocheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeka!.....tena akija na wimbo ulio bora ambao mfalme anataka kusikia"kiwanda cha sukari"......yaani nawahakikishia atapewa gas in next 24 hours na lolote linguine atapewa tena kwa jazba kubwa...MWijage na Muhongo wajipange.............subirini tu aje....anakuja na tune ya sukari mmekwisha na makaa yenu ya mawe.............
Haa ha ha ha, aise mbona kama umebadiri topic kiana!?Natarajia Rais ataonyesha uzalendo kwa kuongea kiswahili
Inaelekea aliyetuloga kesha kufa!!Hii nchi bana, sijui nani kailoga
Unajua mama anaujua ukweli woooooooooooooote shida aliyokuwa anapata ni kwamba anataka kutumikia mabwana zaidi ya 1! anamsifia sana Dangote, anaisifia sana serikali! sasa hapo akawa anajaribu kuwa makini asiukosee upande wowote na hiyo ni poa maana mwisho wa siku anapata ugali wake hafanyi kazi bure pale! by the way yupo kazin ni kama akina Lizabon na wengine humu JFsYule mama alikuwa anababaika kidogo nafikiri hajazoea kuongea na media.Kuna sehemu alisema Dangote anasafiri sana lakini kabla ya mwisho wa mwaka huu anaweza kuonana na Magufuli.
Maslah siasa siasa maslahi =ulafiHii nchi bana, sijui nani kailoga
Ha ha ha, wewe "mjumbe" wa Halmashauri Kuu ya Chadema una mambo.Hatua nzuri tunategemea maslahi ya wananchi kuzingatiwa( taifa)
Kama analala masaa 3 tu kwa siku basi afya yake c nzur. Joke kidogoMfanyabiashara maarufu wa Cement duniani Bilionea Aliko Dangote amepanga kuonana na Rais John Pombe Joseph Magufuli ili aweze kumweleza kuhusu utata unaotokea kwenye uzalishaji wa Cementi katika kiwanda chake kilichoko Mtwara.
Bilionea huyo ambaye alikuwa amepanga kufungua kiwanda cha sukari na kutengeneza bandari ndogo kuna mambo ambayo haridhishwi nayo yanayofanywa na wafanyabiashara pamoja na baadhi ya wanasiasa nchini kuhujumu jitihada zake za uzalishaji.
Mfanyabiashara huyu ambaye inasemekana hulala masaa matatu tu kwa siku huenda akakutana na Rais kabla ya mwisho wa mwaka huu.
Chanzo: Nipashe
MY TAKE.
Tunaomba busara itumike ili tajiri huyu aendelee kuwekeza nchini.
======
SAKATA la kusimama uzalishaji kwa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mtwara limechukua sura mpya baada ya mmiliki wa kiwanda hicho, Alhaji Aliko Dangote kuamua kuja nchini ili kumuona Rais John Magufuli.
Taarifa ambazo Nipashe ilithibitishiwa na kiwanda cha Dangote jana, zilieleza kuwa Dangote anakuja nchini kwa nia ya kumuona Rais Magufuli ili ashitakie mambo kadhaa ikiwamo madai ya kuwapo kwa hujuma anazofanyiwa na baadhi ya watu kwa sababu za kibiashara.
Kiwanda cha Dangote ambacho ni kikubwa zaidi Afrika Mashariki kwa uzalishaji wa saruji, kilisitisha uzalishaji wiki mbili zilizopita kutokana na kile kilichoelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wake, Harpreet Duggal, kuwa ni kuelemewa na gharama kubwa za uendeshaji.
Mwakilishi Mkazi wa Dangote nchini, Esther Baruti, aliiambia Nipashe jijini Dar es Salaam jana jioni kuwa 'bosi' wake ameamua kuja nchini kuzungumza na Rais Magufuli juu ya vikwazo vinavyoukabili mradi huo wenye thamani ya dola za Marekani milioni 500.
"Kuna mambo mengi tuliyokubaliana na Serikali kabla ya kuwekeza kwenye mradi huu mkubwa na hatuna tatizo na serikali. Imetupa msamaha wa kodi kwenye mambo mengi kuanzia ardhi, mafuta ya dizeli lita milioni tatu na mengine mengi," alisema Baruti.
Ufisadi wa chadema utaigharimu nchi hii.
Wamebadili gia angani wanataka kumtumbua Dangote kama walivyomfanyia Lowasa na Nhc
Mwezi mzima Dangote Dangote mpaka tumechoka sasa.
Na hiyo ndio tabia yetu watanzania, unapomzungumzia mtanzania halisi basi ndo huyo uliyemuelezea hapo mkuu.Kwa figisu Tanzania tuko vizuri, watu wanawaza maslahi yao tu kuanzia wanasiasa,wafanyabiashara, wafanyakazi hadi wananchi wa kawaida.!
Umefafanua vizuri kiongozi.Hii habari lazima ijadiliwe sana maana inahusu maisha ya watu.Kuna watu watapoteza ajira ambayo inawalinda wao na familia zao.Vilevile Cement inaweza kupanda bei lakini baya zaidi ni kuharibu taswira ya Tanzania kimataifa hasa kwenye kuvutia wawekezaji.
Ufisadi wa chadema utaigharimu nchi hii.
Wamebadili gia angani wanataka kumtumbua Dangote kama walivyomfanyia Lowasa na Nhc
Ufisadi wa chadema utaigharimu nchi hii.
Wamebadili gia angani wanataka kumtumbua Dangote kama walivyomfanyia Lowasa na Nhc
Naomba JF ikutangaze kuwa wewe ni mwehu bora wa mwaka 2016.
Mbona unachanganya mambo kiasi hiki? Au ni pombe unakunywa isiyopimwa?
Jamaa kapagawa kweli yaani hata haelewi nini tunajadili.Inawezekana kanyang'anywa Jimbo na CHADEMA sasa anaiota kila dakika.