pia Edward snowden Kwenye hizo doc alizozileak zilionyesha NSA Wana direct access za information yako kutoka facebook, Google, Microsoft, Yahoo, PalTalk, AOL, Skype, YouTube and Apple ,,
pia NSA wametap internet access wordwide😱,,
moja ya program waliyonayo ni SOMALGET(MYSTIC) ambayo hii inarecord na kusave simu zote zinazopigwa huko bahamas,baadhi ya nchi ambayo Mystic document zilionyesha zinazooperate ni Mexico, ufilipino na Kenya😎.
huku North Korea, fatboy akijulikana kuwa na kikundi cha Cyber army ..
uncle sam anao Tailored Access Operations (TAO) Hawa ni elite hacker wa NSA.......
....NITARUDI....