Ooyooo hawo viangozi wa hiyo inchi wala hawana muda wa kulifatilia hilo jambo na wako bizy na masilahi yao tena ni aibu na tusi la nguwoni kwa kuwatigemia wazungu kuja kuwaokoo na hii inaonisha ni kama mchezo wa kuigeza na vimibaki mabango kila kukicha ya rudi nyumbani na laiti kungekua na jaribio la maasi basi zamani wangekwesha kamatwa tena wote lakini huu ni mradi wa vigogo