DAN BROWN Autikisa Ulimwengu Na" ORIGIN" Baada Ya "INFERNO".

DAN BROWN Autikisa Ulimwengu Na" ORIGIN" Baada Ya "INFERNO".

Pundo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
2,390
Reaction score
3,314
Mtunzi ( Author) Namba Moja
Ulimwenguni Wa Novel Za Conspiracy Hatimaye Amekuja
Na Novel Mpya Yenye Siri Kuu,
Vitu Ambavyo Huwezi Kuvipata
Sehemu Yeyote Ile Ila Ndani
Ya Hichi Kitabu Maridadi Zaidi.
Jamaa Amekuwa Akishangaza
Ulimwengu Kwenye Kitabu Cha
DA VINCI CODE, THE LOST SYMBOL,
ANGELS AND DEMONS, INFERNO
Sasa Amekuja Kivingine Kwenye
ORIGIN.
 
US_Big.jpg
 
Heko Mkuu!
Jitahidi Ukisome
Na Hiki Kipya
Robert Langdon
As Usual Yupo Ndani
Na Assistant Wake Mpya.
Huyo ni fictional character ,meaning that hiyo novel ni fiction .
Ila jamaa anaandika nondo balaa ambazo zina uhalisia fulani hivi.
Inferno-Dante alighieri
 
Huyo ni fictional character ,meaning that hiyo novel ni fiction .
Ila jamaa anaandika nondo balaa ambazo zina uhalisia fulani hivi.
Inferno-Dante alighieri
Sahihi Kabisa Mkuu Hiyo Inferno
Ndo Inaeleza Issue Nzima Ya Population Duniani Pamoja Na Agenda Za Siri Za Kupunguza Population Kupitia Diseases, Family Planning Etc.
Jamaa Ni Hatari Kwa Matukio.
 
Back
Top Bottom