Haya ni mambo ya giza ushirikina na uchawi ndio maana ukifanya kwa njia hiyo ni lazima kila mwaka umwage/utoe damu nyingineMshana jr. Kuna mauaji mengine hufichwa kupitia majanga tofauti tofauti kv ajali barabarani, radi nknk. Na hii pia damu yake hunuka?
Picha zimenikumbusha ile story ya Rama mla vichwa,sijui kesi yake iliishiaga wapi.Ni kitu kama hicho na nafsi zao huwaadhibu kwa namna tofauti hivyo hutamani kuua hata kwa silaha yoyote mpaka meno hutumika
Kama alipelekwa kwenye mahabusu ya magereza zetu hizi,basi walimpeleka kumshape product ambayo inaweza kuja kuwa muuaji tishioPicha zimenikumbusha ile story ya Rama mla vichwa,sijui kesi yake iliishiaga wapi.
Umenifanya nivutiwe na hawa watu nitawatafiti, naamini hapa kwetu pia wapo!tungekuwa na utaratibu kama was wenzetu wa kufanya tafiti kama hizi tungefahamu mengi sanaNimesoma baadhi ya makala za serial killers, Ted Bundy aliamua kuua baada ya kuachwa na mpenzi wake hata wahanga wake walikua ni wanaoendana kimuonekano na aliyekuwa mpenzi wake, nyakati nyingine alikaa na maiti kwa muda mrefu akiendelea kuiingilia (necrophilia). Kuna Andrei Chikatilo uhanithi wake mbele ya wanawake aliulipizia kwa kua mbabe mbele ya wavulana wadogo huku akiwabaka pia hata baada ya kufa aliendelea kuwaingilia au kupiga puchu (necrophilia).
Stori ndefu iwe fupi. Baadhi ya Serial killers huwa wanavutiwa na wao kujiona kama Mungu kwamba wanaamua nani aishi na nani asiishi (serial killers madaktari wana tendency hii).
Wengine hupendelea jinsi wanavyozungumziwa midomoni mwa watu na vyombo vya habari mfano Dennis Rader a.k.a BTK.
Wengine huinjoy ile scenario na kuwapandisha ashki mfano Andrei Chikatilo na David Berkowitz.
Aliyepoint kua anavutiwa na damu ni mmexico mmoja (jina limenitoka) na Charles Manson. Hawa walikua wana mawazo ya kishirikina wote walitaka kuunda followers wengi ambao watafuatisha imani na mitazamo yao bila kupinga.
Mimi naamini wapo ila udogo wa teknolojia na jeshi ambalo lipo equiped kwa zana za kazi ndiyo vinapelekea kutojua kama wapo au la. Pia ubovu wetu katika kuweka rekodi nao unachangia sana.Umenifanya nivutiwe na hawa watu nitawatafiti, naamini hapa kwetu pia wapo!tungekuwa na utaratibu kama was wenzetu wa kufanya tafiti kama hizi tungefahamu mengi sana
Nakubaliana nawe katika hili na ndio maana tunapoandika mada kama hizi rejeo zetu za picha na mifano tunanakili kwa wenzetuMimi naamini wapo ila udogo wa teknolojia na jeshi amabalo lipo equiped kwa zana za kazi ndiyo vinapelekea kutojua kama wapo au la. Pia ubovu wetu katika kuweka rekodi nao unachangia sana.
Mshkaji alikuwa level nyingineMimi naamini wapo ila udogo wa teknolojia na jeshi amabalo lipo equiped kwa zana za kazi ndiyo vinapelekea kutojua kama wapo au la. Pia ubovu wetu katika kuweka rekodi nao unachangia sana.
Nakubaliana nawe katika hili na ndio maana tunapoandika mada kama hizi rejeo zetu za picha na mifano tunanakili kwa wenzetu
Ni kweli mkuu inanuka tena sana kama ya fisi!!Unaweza kuuliza inanukaje na pengine unadhani ni baada ya kuhifadhiwa muda mrefu kwa utaratibu usio sahihi...kwenye mada hii sina maana hiyo
Damu ya mtu ina harufu yake, harufu ya kushangaza harufu yenye kuvuta kwa namna ya ajabu kabisa...hii ni damu ile ambayo mhusika wake amekatishwa maisha yake kwa namna dhalimu
Wauaji ndio wahanga wakubwa wa hili jambo, damu ya marehemu huwanukia, huwavuta na ili waweze kuwa sawa hutamani kuua tena, nafuu yao ni kupata ile harufu, hawa ndio wale serial killers
Kuua mnyama ni tofauti kabisa na kuua mtu na sababu yake ni moja tu..binadamu ana utashi wakati mnyama ni hayawani...binadamu ana fikra yakinifu wakati mnyama hana
Ni kitu cha kawaida kabisa kumgonga mnyama kama mbwa sungura ng'ombe punda nk uwapo barabarani na ukasimulia hilo tukio bila hisia zozote! Lakini gonga mtu uone...!
Ni tatizo huyu, akaua muigizaji mkubwa tu...Mshkaji alikuwa level nyingine
Serial killer anakua ni muuaji ambaye kutoka kutimiza tukio moja mpaka jingine kunakua na muda hapo kati kati, yaweza kua miezi au hata mwaka au miaka ila anakua anatumia njia moja tu kuua mfano mwningine atatumia shoka, mwingine kukata kata, mwingine bastola ila wapo ambao walichanganya njia za kutekeleza uovu wao.Serial killer ni watu wa namna gani wakuu.... nipeni mwanga kidogo