Heri wana jukwaa,
Nina swali la kuuliza.Ile damu ya hedhi ya wanawake,
1. Ina uhusiano wowote na damu ya mwilini? Maana wengine inatoka mpaka unamhurumia,namaanisha kama ikitoka sana hawezi akahitaji kuongezewa damu?!
2.Je,anapokuwa ametoa pad, ile damu ikipimwa,ina magonjwa yanayoambukiza(VVU,Gonorhea,.....)
3.Baada ya mda gani hao virusi wanakuwa hawana madhala kama wamo.
Wenye ujuzi naomba kueleweshwa