Damu ya hedhi na ibada za kiimani

Nimetoka kuagiza ' Kiepe Kyuku ' lakini nilivyosoma tu ' Content ' nzima ya ' uzi ' nimeghairi hata kula tena Chakula chenyewe.
 
Ndugu achana na mambo yaushirikina nenda hospital utapewa dawa na atapona kabisa wengi wana tatizo Hilo na wamepona kupitia hospital,

Halafu Kuna dawa nyingine za uzazi WA mpango unaweza kaa hata miezi 5,bila kupata hedhi yako,so cheki na hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…