Damu /overbleeding

SHIKAMOO PESA

Member
Aug 13, 2014
91
10
Jf habari za majukumu.

Jaman kuna rafiki yangu amepatwa na tatizo la overbleeding tatizo hilo mpaka kufikia leo ni siku ya 14 amesha muona daktari lakini tatizo bado linaendelea imefikia hatua mpaka analia ameenda kuombewa kanisani.

Lakini bado kama kuna anayejua njia mbadala ya kumsaidia please naomba msaada wako ili kumnusuru huyu dada maanake mpaka sasa amefikia hatua anasema tatizo hilo kama litaendelea mwezi mzima anasema atajiua kiukweli imeniuma sana mwanamke kufikia hatua hiyo naomba tuokoe maisha ya Mtanzania mwenzetu please.
 
Pole kwa dada, namuombea asijefikia maamuzi magumu ya kujitoa uhai, ajaribu kurudi hospitali nyingine na akutane na specialist wa wanawake atasaidiwa bila shaka kuondoa tatizo lake
 
Ameshawahi kuchoma sindano za uzazi wa mpango au kutumia vidonge?
 
Back
Top Bottom