Damu ikimwagika Kalenga, RCO ndie mtuhumiwa namba moja.

TUNAOMBA TUWEKEWE hapa MAJINA YAKE YOTE MATATU kwa ajili ya kumbukumbu ya vizazi vijavyo .
 
CDM kalenga chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!

ujue nyie ------- msidhani wenzenu wanapofanyiwa usenge nyie mtakuwa watawala siku zote,ujinga wa polisi mnaushabikia kuna siku chama kingine kitashika hatamu na polisi hawa hawa watatumika kuwaumiza
 
Yeriko ni kanjanja na kibaraka anayeongoza kwa kupost mada za uongo, uzushi na propaganda humu jukwaani

Tulia wewe....watu bado tunahuzunika na kifo cha Mwangosi! MaCCM hamchoki kumwaga damu za raia wasio na hatia?
 
Kuweka kumbukumbu sawa RSO ndio katibu wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa kwa hiyo hauwezi kumwambia RPC ndio Mkubwa kuliko RSO

Mkuu kama vile sijakusoma vizuri, ina maana katibu ni mkubwa kwa mwenyekiti?which means Hon. Ombeni Sefue yupo juu ya mkulu wa kaya kwenye cabinet meetings, wonders shall never cease.
 
Machadema acheni uhuni, mnaanza kujihami baada ya mipango yenu haramu ya kupanga mauwaji kuumbuka ee

Nina wasiwasi na Utaifa wako. Utakuwa umepata Uraia wa Tanzania kwa kuomba wewe, unawaza CCM Vs Chadema tu muda wote. Hii ni nchi yetu sote, na sote tuna haki sawa.
 
Chadema imejiandaa kumwaga damu kalenga sasa wanaandaa mazingira


Yaani wewe unaandikaga kwa kukurupuka kama mtu aliyefumaniwa na mme wa mtu.... Ni kweli chadema imejiandaa kumwaga damu kama ilivyomwaga ya Mwangosi(RIP) kwa kumlipua na bomu kipindi kile... Una la zaidi?
 
Kwa kweli ni aibu kwa jeshi la polisi kuacha kusimamia yale wanayopaswa kuyafanya kisheria na kuwa wafurukutwa,ni aibu ya hali ya juu,yanayotokea iringa ni mwendelezo wa polisi kutumiwa na ccm,wakati wa marudio ya udiwani kata 27 yaliyojitokeza yanatosha kuionyesha jamii yetu kuwa sasa imani kwa polisi na watawala hakuna,njombe,morogoro mjini,mbeya,sombetini,iringa nduli na kwingineko matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya vyama vya upinzani yalijitokeza na ni mwendelezo wa ukandamizaji na ubabe wa POLICCM.Hii si haki kwani nchi hii ni yetu sote na sote twapaswa kufurahia uhuru wa kumchagua tunayemtaka bila kulazimishwa wala kubughudhiwa na yeyote yule.yafaa polisi muelewe kuwa kuendelea kutumia ubabe dhidi ya upinzani ni kuichimbia kabuli amani ya nchi hii,wanainchi wamekaa kimya kwa muda mrefu msiendelee kuwakwaza kwani itafika siku uvumilivu utatoweka.
 
Back
Top Bottom