Damu ikimwagika Kalenga, RCO ndie mtuhumiwa namba moja.

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Wakuu kwanza nimpongeze RPC Mungi kwakusimamia miiko ya kazi ya upolisi hapo Iringa,

Lakini tatizo lipo kwa huyu RCO, huyu anatumika waziwazi na ccm, kiasi kwamba sasa anapingana na bosi wake ambaeni ni RPC waziwazi,

Amehujumu maamuzi ya RPC kwa kiwango kikubwa, na zaidi anajichukulia maamuzi yake bila kufuata taratibu za kiutawala na kiutendaji.

Mfano jana kavamia ngome ya Chadema akiwa na makada wa ccm anadai amepata taarifa chadema ina mabomu na smg, alipoombwa kibali cha kuja kukagua akawa hana, hivyo akazuiwa na kutaka kuanzisha fujo zisizo na ulazima, mpaka alipopewa taarifa Rpc na kuingilia kati suala hilo na yeye akatokomea na wahuni wenzake,

Matukio mengine madogomadogo anayoyafanya hapa kalenga yanaweza kizaa umwagaji damu hapo kesho au keshokutwa asipodhibitiwa huyu RCO,

IGP Ernest Mangu muwajibishe huyu mtu.
 
Maafisa wengi wa jeshi la polis hawako kwa ajili ya ulinzi au usalama wa raia na mali zao, bali wako kimaslahi zaidi. Na wengi hutumika na watawala wa chama tawala na maslahi binafsi zaidi.
 
mmmh kumekucha siasa si mbaya ila binadamu ndio wabaya haya yetu masikio na macho kwenye runinga. Hatuwezi kufanya kampeni bila vurugu tatizo wote wezi kwa hiyo hawaminiani. tunasubiri kutoa tamko la kulaaani ikifikia hayo maafa na kutoa rambirambi na kusema "wamekufa kishujaa".
 
Huyu RCO mshenzi kabisa, atumie akili badala ya makalio kufikiri na kufanya maamuzi..... hela za mwigulu zisimfanye akose busara shenzi kabisa
 
Wakuu kwanza nimpongeze RPC Mungi kwakusimamia miiko ya kazi ya upolisi hapo Iringa,

Lakini tatizo lipo kwa huyu RSO, huyu anatumika waziwazi na ccm, kiasi kwamba sasa anapingana na bosi wake ambaeni ni RPC waziwazi,

Amehujumu maamuzi ya RPC kwa kiwango kikubwa, na zaidi anajichukulia maamuzi yake bila kufuata taratibu za kiutawala na kiutendaji.

Mfano jana kavamia ngome ya Chadema akiwa na makada wa ccm anadai amepata taarifa chadema ina mabomu na smg, alipoombwa kibali cha kuja kukagua akawa hana, hivyo akazuiwa na kutaka kuanzisha fujo zisizo na ulazima, mpaka alipopewa taarifa Rpc na kuingilia kati suala hilo na yeye akatokomea na wahuni wenzake,

Matukio mengine madogomadogo anayoyafanya hapa kalenga yanaweza kizaa umwagaji damu hapo kesho au keshokutwa asipodhibitiwa huyu RSO,

IGP Ernest Mangu muwajibishe huyu mtu.

mkuu yericko mangu ana uwezo wa kumwajibisha RSO yeye anawork under DG wa TISS
 
Yeriko ni kanjanja na kibaraka anayeongoza kwa kupost mada za uongo, uzushi na propaganda humu jukwaani
 
Huyu RCO mshenzi kabisa, atumie akili badala ya makalio kufikiri na kufanya maamuzi..... hela za mwigulu zisimfanye akose busara shenzi kabisa
 
Huyu RCO mshenzi kabisa, atumie akili badala ya makalio kufikiri na kufanya maamuzi..... hela za mwigulu zisimfanye akose busara shenzi kabisa
 
Anatekeleza kauli ya Pinda na rais kikwete, anataka kufanya mauaji ili apandishwe cheo, kama ilivyokuwa kwa kamhando baada ya kuumua Daud Mwangosi, Mungu anaona na atatenda haki.
 
Napenda kukwambia wewe rco usitegemee kwamba utapandishwa cheo kwa kuua tumia akili,jicho la Mungu linakutizama
 
Wakuu kwanza nimpongeze RPC Mungi kwakusimamia miiko ya kazi ya upolisi hapo Iringa,

Lakini tatizo lipo kwa huyu RCO, huyu anatumika waziwazi na ccm, kiasi kwamba sasa anapingana na bosi wake ambaeni ni RPC waziwazi,

Amehujumu maamuzi ya RPC kwa kiwango kikubwa, na zaidi anajichukulia maamuzi yake bila kufuata taratibu za kiutawala na kiutendaji.

Mfano jana kavamia ngome ya Chadema akiwa na makada wa ccm anadai amepata taarifa chadema ina mabomu na smg, alipoombwa kibali cha kuja kukagua akawa hana, hivyo akazuiwa na kutaka kuanzisha fujo zisizo na ulazima, mpaka alipopewa taarifa Rpc na kuingilia kati suala hilo na yeye akatokomea na wahuni wenzake,

Matukio mengine madogomadogo anayoyafanya hapa kalenga yanaweza kizaa umwagaji damu hapo kesho au keshokutwa asipodhibitiwa huyu RCO,

IGP Ernest Mangu muwajibishe huyu mtu.

Sijakuelewa unamaanisha RSO kama Regional Security Officer yani Afisa usalama wa taifa wa mkoa, au RCO yani Regional Criminal Officer?
 
Back
Top Bottom