Damu ikimwagika Kalenga, RCO ndie mtuhumiwa namba moja.

mwishowe utalalamikia kuwa karatasi za kupigia kura zilikua tofauti na za 2010, ndio maana hamkushinda
 
Sawa umeshapiga kampeni kubwa hapa JF
CDM mtashinda kwa kishindo, hahaha.
 
Soma heading...Inazungumzia RSO lakini maelezo yanazungumzia RCO...

Hii inamaana muanzisha thread hayupo makini ama ni mbumbumbu...Anashindwa kutofautisha kati ya RSO na RCO...
unasahisha na computer and you cant reasoning.... i hope umemuelewa what he had in mind!
 
Soma heading...Inazungumzia RSO lakini maelezo yanazungumzia RCO...

Hii inamaana muanzisha thread hayupo makini ama ni mbumbumbu...Anashindwa kutofautisha kati ya RSO na RCO...

Sasa mbumbumbu hapa ni wewe
Angalia watu makini kitu wanacho discuss
Zinduka UMBWA wewe
 
Yeriko ni kanjanja na kibaraka anayeongoza kwa kupost mada za uongo, uzushi na propaganda humu jukwaani

""Huoni aibu kujaza comment zote wewe tu?hata kama ni mahaba ya kuitetea CCM itetee kwa hoja basi mada si imeeleweka hapo juu,kwani YERICKO kakufanya nini hadi ukae kumjadili badala ya kujadili mada aliyoileta kwa kuijengea hoja?ina maana NAPE aliwaajiri humu bila kuwafundisha namna ya kujenga hoja?POLENI SANA,KUKITETEA CHAMA KINACHOJIFIA YAHITAJI UKICHAA""!
 
Sasa mbumbumbu hapa ni wewe
Angalia watu makini kitu wanacho discuss
Zinduka UMBWA wewe
I see....JF wakati mwingine Raha kweli...

Asante sana Mkuu wangu...

Kwa hiyo kwako wewe heading ya thread kuwa na neno RSO na maelezo ya heading kuzungumzia RCO unaona sahihi kabisa...

Hauoni kwamba neno 'RSO' litawafanya watu wavutike kusoma thread ambayo maelezo yake yanamzungumzia mtu tofauti kabisa..

Ficha Upumbavu wako...Usiifiche hekima yako mkuu wangu...
 
Next time ongea Kiswahili...Kiingereza haukiju!

'You can't reasoning' ndio mdudu gani?
i knew you would come that easy and forget about the topic in qn!
poor sisiem, nothing in your head except that hut you wear! as im look at you with that hut i see the image of mind slave man!
 
I see....JF wakati mwingine Raha kweli...

Asante sana Mkuu wangu...

Kwa hiyo kwako wewe heading ya thread kuwa na neno RSO na maelezo ya heading kuzungumzia RCO unaona sahihi kabisa...

Hauoni kwamba neno 'RSO' litawafanya watu wavutike kusoma thread ambayo maelezo yake yanamzungumzia mtu tofauti kabisa..

Ficha Upumbavu wako...Usiifiche hekima yako mkuu wangu...
we hu8na hekima thats why unaangalia makosa ya kiuandishi than the content! get the fu.ck out of here and go joining your mama in the kitchen coz thats what you are best at!
 
i knew you would come that easy and forget about the topic in qn!
poor sisiem, nothing in your head except that hut you wear! as im look at you with that hut i see the image of mind slave man!

I see....

JF wakati mwingine ni burudani tosha...

Punguza jazba mkuu wangu...Tulia, kunywa maji bariiidi...

Samahani kama nimekukwaza mkuu wangu..
 
Back
Top Bottom