Sidhani kama wolper atakuja apige mpunga mrefu ka ule aliopiga kwa Dallaz, enzi zile bado ni papaa ya mujini....
Hawa ndio wanawapaga viburi madem wacha akalie bechi mpaka apate akili shenzi type.Ndo huyo huyo, pia alimpangishia nyumba ya kifahari (ghorofa) mbezi beach, kipindi kile wolper alikuwa noma mjini alisumbua sana kipindi kile sijui kama atakuja kupata lile zali tena
Ndo huyo huyo, pia alimpangishia nyumba ya kifahari (ghorofa) mbezi beach, kipindi kile wolper alikuwa noma mjini alisumbua sana kipindi kile sijui kama atakuja kupata lile zali tena
Jamaa lofa kweli, leo ndo limekumbuka kuweka mzigo ndani.... sahivi kachoka mbayaa, cjui hata kiburi cha kumfata wolper anatoa wapi.
Si ndo apo, nasikia jamaa kachoka mbaya hata viwanja vyake sasa ivi vya ajabu ajabu sio kama zamani unamkuta viwanja matata akitanua na warembo, sasa ivi ataishia tu kumsikia wolper kwenye magazeti, maana sidhan kama wolper ataweza mrudia jamaa na alivyochoka vile dah, halafu si alisemaga wolper ananuka papuchi sasa imekuwaje karudi tena, huyu jamaa atakuwa anavuta bhang na yeye

Kwahyo jamaa kafulia hafu naye mwanaume mmbea anaachana na mtu anaenda kumtangaza kwa watu na afulie mpaka ajute blali

Wamemwachia naona kaja kwa kasiMods mmemwachia warumi dah
Mods mmemwachia warumi dah