Dalili zote zinaonesha ni Lowassa

Dalili zote zinaonesha ni Lowassa

cbandiho

Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
67
Reaction score
47
Dalili za anguko la ccm na mabadiliko yaliyotabiriwa zinamwangukia LOWASA kama shujaa alyeandaliwa ktk mabadiliko hayo.

binadam wanatabia ya kupuuza utabir na kutoamn mpaka jambo litokee,hata mm mwanzon skuamn hata kidogo kama hili ndo linaweza kuwa ndo anguko kuu la ccm lililotabiriwa na hayati baba wa taifa,Julius Kambarage Nyerere.

Nimemtafakari sana lowasa alpoanzia na misukosuko ilyompata na wakati wote ktk vpind hvo alvojeruhiwa amekuwa akipita salama,nafkr nguvu ya mabadiliko alyoyabeba ndo yamekuwa yakimuchelewesha na wakati wake umefka sasa.

Ukiunganisha dot zote za utabir kuanzia Nyerere alvotabir mabadiliko,TB joshua juu ya Lowasa,Mchungaj alyesema kama lowasa hatakuwa Rais auwawe,Sheikh yahaya kuhusu Lowasa 2015,Askofu kakobe juu ya anguko kuu la ccm 2015

Namna ambavyo ukawa imezaliwa na kuweza kudumu mpaka wakati huu wa uchaguz,na ngao alyoibeba ya mabadiliko iliyoaandaliwa na chadema mda mrefu ya M4C (Movement for Change) .dalil za CCM kuanza kulalamika,kuparanganyika na kuamua kutumia matus na kashifa juu ya Lowasa ni dalili za kushindwa mwaka huu.DALILI ZOTE ZINAONESHA NI LOWASA.
 
Kama Lowassa ni chaguo la Mungu, na kwamba Mungu ameona kuna ulazma wa kuiondoa CCM, basi mm pia naungana na mleta mada...... Lowasa ndo rais.
 
Dalili za kuwa lowassa atakuwa rais hazipo kabisa. Ila dalili za kwamba lowassa anaumwa tena anaumwa sana zipo waziwazi
 
sidhani kama ni tabia nzuri vile vile kujadili afya za watu kama mnakumbuka kuna mmoja alimkebehi lowasa now yukomwapi
 
Wana JF jambo alilogundua huyu Mgombea ni kwamba alivyoona gari imeanza kugoma kuwaka baada ya safari ndefu ya nchi ya ahad miaka hamsini Na nne.Kwanza alipewa uwezo na Mungu wa Kuwa-identify problem very soon.Pili alivyoguundua Shida ni badrii Low charge.Haraka alishuka kwenye basi hilo maana alijua hawezi kufanya madiliko yoyote ili kunusuru safari yake Na wale abiria akiwa ndani ya BASI hilo hilo.Ajabu ni mwenzake ambaye ameshamuona dereva Ame-loose hope kabisa.ANAOMBA ABIRIA WALIOLIPA NAULI ZAO HALALI ILI WAFIKE SALAMA WAKIWA MULE MULE NDANI KAMA SEHEMU YA ABIRIA NA YEYE AKASHIKE USUKANI WAMSUKUME GARI IWAKE SAFARI YAO IENDELEE ?Je ninani yupo ready kusukuma Gari akiwa ndani kwenye kochi? Hiyo ni jocks nikweli Na uwazi kuwa haliwezi kuwaka.Mwenzie ameshuka ANAOMBA WANANCH NJE YA BASI LILILOFELI AKAKAE KWENYE USUKANI AMBAO KWA SASA DEREVA WAKE AME-loose hope kabisa.AMEINAMISHA KICHWA CHINI ABIRIA (wananch) WAMEKWAMA MUDA MREFU NDANI YA BASI miaka hamsini Na nne.wananjaa.(No enough food) Wanakiu (No permanent solution ya maji) ndani ya BASI kuna Giza (hakuna Umeme.No permanent solution of power) violation of human rights.In adequate education.Hakuna ulinz wa viwanda vya ndani.hakuna ulinz wa wanyama pori.wanavunwa.mfumuko wa bei za bidhaa.Wananch wameamua kwa umoja wao kumwambia huyo Mgombea mmoja aliyeshuka ndani ya BASI kakae kwenye USUKANI WAMSUKUME WAKIWA nje mara moja liwake waondoke. Wamekuja kusukuma wanaambiwa.nimgonjwa.mwizi.hafai Kuwa dereva wa hili BASI.lakini Mgombea huyu hamsemi Mwenzie yupo Kimya hajibu kwa ubaya anahimiza wananchi kwa umojawenu nisukumeni Gari IWAKE muondoke hapa. Kama walivyoanza kuonyesha ni wazi kwamba WANANCH WILL SHOW DUNIA WHO IS A QUALIFIED BUS DRIVER A FEW DAYS 2 COME.GOD BLESS OUR COUNTRY.
 
Dalili za anguko la ccm na mabadiliko yaliyotabiriwa zinamwangukia LOWASA kama shujaa alyeandaliwa ktk mabadiliko hayo.
binadam wanatabia ya kupuuza utabir na kutoamn mpaka jambo litokee,hata mm mwanzon skuamn hata kidogo kama hili ndo linaweza kuwa ndo anguko kuu la ccm lililotabiriwa na hayati baba wa taifa,Julius Kambarage Nyerere.
Nmemtafakar sana lowasa alpoanzia na misukosuko ilyompata na wakati wote ktk vpind hvo alvojeruhiwa amekuwa akipita salama,nafkr nguvu ya mabadiliko alyoyabeba ndo yamekuwa yakimuchelewesha na wakati wake umefka sasa.
ukiunganisha dot zote za utabir kuanzia Nyerere alvotabir mabadiliko,TB joshua juu ya Lowasa,Mchungaj alyesema kama lowasa hatakuwa Rais auwawe,Sheikh yahaya kuhusu Lowasa 2015,Askofu kakobe juu ya anguko kuu la ccm 2015 Namna ambavyo ukawa imezaliwa na kuweza kudumu mpaka wakati huu wa uchaguz,na ngao alyoibeba ya mabadiliko iliyoaandaliwa na chadema mda mrefu ya M4C (Movement for Change) .dalil za CCM kuanza kulalamika,kuparanganyika na kuamua kutumia matus na kashifa juu ya Lowasa ni dalili za kushindwa mwaka huu.DALILI ZOTE ZINAONESHA NI LOWASA.
It is now just a matter of time!. We are just counting days!. 20 days to come!. D-Day!.
Pasco
 
Pumba tupu,mgonjwa wenu mpelekeni muhimbili

Jenga hoja Mapirobe, mambo ya afya anajua Dr na Mgonjwa wake, pili huna mamlaka ya kumzuia Lowassa kwenda Ikulu kwani tume ilikwisha uthibitishia umma kuwa Lowassa yuko fit kugombea nafasi hiyo. Badilika, Mgonjwa anaweza kupiga mikutano minne kwa siku bila kupumzika. Naungana na mleta uzi ccm mjipange upya.
 
Back
Top Bottom