Kwani hujui? Waulize CCM wenzako wanajua kura alizopata kamanda lowassa
Daah wewe jamaa noma yaani CCM imeiandika kwa herufi kubwa na lowasa herufi ndogo. So lowasa si chochote bali CCM
Kwani hujui? Waulize CCM wenzako wanajua kura alizopata kamanda lowassa
Halafu kuna ID's kibao kwa sasa zimeyeyuka.chali, kifo cha mende, kwisha, kwisha kabisaaa. Tuliomsikia babu duni tulidhani ccm wasingepata hata mbunge mmoja.