darling-tone
Member
- Apr 24, 2013
- 60
- 11
Wakuu heshima kwenu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninawaomba wenye uzoefu was mambo ya uzazi wanisaidie tips kihusu dalili za uchungu wa kujifungua.
Wanadai kila Mwanamke Ana dalili zake ila nadhani kutakuwa na vitu flani vya kufanana. Naomba msaada wadau wangu.
Na chupa kupasuka Ina maana ni kitendo cha kutoa maji mengi??Mie binafsi niliskia tumbo Kama la kuendesha vile kuamka kitandani chupa ikapasuka hapo hapo fasta hosp
Tarehe ndio hizi. Nitajuaje haya ndio maji ya chupa yamepasuka?Kwani walikwambia tarehe hizi ndio za mategemeo ? Maana unaweza kuzudisha au kupunguza tarehe za makadilio, Pia Maji sio mengi sana ukiona dalili zozote hizi ww nenda hosp maana uwezi jua
Na chupa kupasuka Ina maana ni kitendo cha kutoa maji mengi??
Dalili za kuharisha ninazo, mgongo kuuma na kuacha pia, kichwa pia kwa mbali sasa sijui ndio wenyewe
Tarehe ndio hizi. Nitajuaje haya ndio maji ya chupa yamepasuka?
Asante mpnz....so ni mchuruziko ambao unajitokea wenyewe... He he naomba Mungu usinitokee nikiwa nimelala as sitajuaYanachuluzika Kama mkojo ila mazito kidogo, ( hii nakuadithia kma mie ilivyonitokea) nilivyoona ivyo na clinic walishaniambia nikapelekwa hosp fasta
Wakuu heshima kwenu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninawaomba wenye uzoefu was mambo ya uzazi wanisaidie tips kihusu dalili za uchungu wa kujifungua.
Wanadai kila Mwanamke Ana dalili zake ila nadhani kutakuwa na vitu flani vya kufanana. Naomba msaada wadau wangu.
Asante mpnz....so ni mchuruziko ambao unajitokea wenyewe... He he naomba Mungu usinitokee nikiwa nimelala as sitajua
Asante mpnz....so ni mchuruziko ambao unajitokea wenyewe... He he naomba Mungu usinitokee nikiwa nimelala as sitajua
Duuuuuhutajua that goes with maumiv coz baby nyumba yake ndo imebomoko automatical anatafuta pa kutokea.and also that goes with maumiv kidogokidogo kila anavyozid kusogelej mlango ndo maumiv yanaongezeka !
si mziki wa kipolepole! be strong woman! ila ukikabidhiwa katoto kako unasahao papo hapo
Utashangaa sana kuzaa mtoto si kitu cha lelemama utamu wa kukuingiza ni tofauti NA uchungu wa kumtoaDuuuuuh