Dalili za mwanaume anayetoka kuchepuka

Dalili za mwanaume anayetoka kuchepuka

Hizi dalili siyo uniform kwamba kila mtu atakua hivyo.

Natoa rai kwa wanaume wenzangu tuache kuchepuka. Mara ya mwisho kuchepuka nililia sana, najuta na nilikiri mbele ya mpenzi wangu na nikamruhusu kuchepuka mara moja ili kubalansi.


Pia natania kila nilichoandika hapo juu.
 
Sijui kama walikosea wale waliosema ukimchunguza bata huwezi kumla.
 
Hizi dalili siyo uniform kwamba kila mtu atakua hivyo.

Natoa rai kwa wanaume wenzangu tuache kuchepuka. Mara ya mwisho kuchepuka nililia sana, najuta na nilikiri mbele ya mpenzi wangu na nikamruhusu kuchepuka mara moja ili kubalansi.


Pia natania kila nilichoandika hapo juu.
Ningeshangaa sana bro, kama ingekua kweli ulifanya hivyo.
 
Dah Leo nashukuru namimi kuweza kuanza kuchangia jf sijui tatizo lilikuwa nini au ndio ban jaman wazoefu waban embu mniambie maana nilikuwa nikifungua akaunt yangu inafunguka vizuri ila kuanza sasa kusoma nyuzi ndio ilikuwa kimeo
 
Habari wanajamvi

Hizi ni baadhi ya dalili ambazo utagundua kuwa mwanaume anatoka kuchepuka

1,Kama alikuwa akija nyumbani hachangamki,hana zile amsha amsha za stories mbalimbali, basi siku akija amechangamka tofauti na kawaida yake,anakuja na stories kibao,mara hiki mara hiki...ujue atokapo huko

2,Siku za karibuni au ni muda sasa hakuletei zawadi na kukwambia maneno matamu,siku anakuletea hiyo zawadi na maneno matamu...ujue atokapo huko

3,kujionyesha kuwa siku hiyo yupo karibu na wewe kuliko kawaida...ujue huko atokapo

Mwanaume mmoja akaniambia, hii hali hututokea baada ya kuhisi nilichokuwa namfanyia mke wangu sicho,anahisi kujutia ila atakaporudia kufanya nae kwa mara nyingine hujihisi kawaida

Wanaume bwana..
Ulidanganywa. Angalia wewe na wenzako msiangamize ndoa zenu bure.
 
Back
Top Bottom