Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Hahahaaah.........hata wa jirani hapo haonyeshi dalili yoyote??Kwa dalili hzo duniani hakuna anae nipenda
KabisaHizo ni dalili za kuchunwa ati!
hatokuomba hela,period!* Hupenda kukuona mara kwa mara hata kama hajapata taarifa za ugonjwa.
* Hupenda kukupigia sim mara kwa mara hata kama umelala.
* Hupenda kukuletea vizawadi kila anapotoka safarini.
* Hupenda kujikesha hata kama haujamchekesha.
* Hupenda akae na wewe kila wakati hata kama una kazi zako.
* Hupenda kukuulizia kwa watu wako wa karibu hata kama amekuona sehemu.
Mwenye nyongeza aongezee.............
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahaahahahaahahaha, huo ni upendo kumbe ukiambiwa hivyo hahahahaha* dalili nyingine atasema nashinda na pesa kesho anko au kaka akituma ntarudisha amini hii ndio dalili tosha
Huu ndio upendo na mm mwanamke akiniambia hivi namchukua mazimahahahahahaahahahaahahaha, huo ni upendo kumbe ukiambiwa hivyo hahahahaha
Hupenda kukuomba vocha na ukimpa nakubip hapigi* Hupenda kukuona mara kwa mara hata kama hajapata taarifa za ugonjwa.
* Hupenda kukupigia sim mara kwa mara hata kama umelala.
* Hupenda kukuletea vizawadi kila anapotoka safarini.
* Hupenda kujikesha hata kama haujamchekesha.
* Hupenda akae na wewe kila wakati hata kama una kazi zako.
* Hupenda kukuulizia kwa watu wako wa karibu hata kama amekuona sehemu.
Mwenye nyongeza aongezee.............
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama upo naye mbali, utamtambuaje?* Hupenda kukuona mara kwa mara hata kama hajapata taarifa za ugonjwa.
* Hupenda kukupigia sim mara kwa mara hata kama umelala.
* Hupenda kukuletea vizawadi kila anapotoka safarini.
* Hupenda kujikesha hata kama haujamchekesha.
* Hupenda akae na wewe kila wakati hata kama una kazi zako.
* Hupenda kukuulizia kwa watu wako wa karibu hata kama amekuona sehemu.
Mwenye nyongeza aongezee.............
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu mwanaume?kupenda kufahamu na kujiweka karibu na ndugu zako au familia yko ukiwa kwny uhusiano na mwanamke ambae hajawahi kukuliza wala kumfahamu ndugu yko au familia member wko jua huyo ni mpita njia tu
Sent using Jamii Forums mobile app