Dalili za Mwanamke akikuchoka

Hamna Mwanamke chini ya jua anaweza kumchoka mwanaume pasipo idhini ya mwanaume.ukiona unachokwa jua umependa wewe iwe hivyo au umeshindwa kutimiza wajibu wako kwa hiyo mwanamke iaidha kwa kufahamu au kutokufahamu.
Haujakutana na majambazi ya mapenzi wewe bado
 
m iwekwe mwenye front page ya sheria ya ndoa na isomke "Pamoja na mambo .........
 
Atakukera makusudi mfano kupost mwanamme/mwanamke ili kusudi ukasirike
Hapo! hapo! ndo pa kumpatia mimba km tatu hivi!! then mwambie ukweli kuwa ''naona hunitaki ondoka na wanao''! Kila mtu na zake!
 
Back
Top Bottom