Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,390
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hela za nini hlf unakuwa na mtu we huna cha kuongea unakuwa unaitikia
Ww unataka mabusu motomoto
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hela za nini hlf unakuwa na mtu we huna cha kuongea unakuwa unaitikia
Hata huwezi kuyaona ni motomoto ikishakuwa hivyo,hiyo tayari ni shida inakuwa[emoji1]Ww unataka mabusu motomoto
Hata huwezi kuyaona ni motomoto ikishakuwa hivyo,hiyo tayari ni shida inakuwa[emoji1]
Maongezi safi tu vision, ila uwahi[emoji1]Ww unataka nn sasa...nianze kujipanga mapemaa
Maongezi safi tu vision, ila uwahi[emoji1]
Nimecheka sana aisee kila mtu apambane na hali yake uwe na bomu ewalaa ndio wako huyo ila tumekusikia mkuu asante
Endelea kukariri kwa ajili ya yule chiziWa Mugabeee
Si ndo mpk viwe vinonoKweli?!....namm mwaka huu lazima nile vinono
Si ndo mpk viwe vinono
Inabidi tu viwe[emoji1]Kama sura ni nzuri namna hiyo kwann nisile vinono jamani
Hakuna dini isiyo na talaka, ukivurugwa utajua tu kwenye dini yako talaka inatokaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi tu viwe[emoji1]
Kama ulishindikana nyuma ww bado umeshindikana tu...unahitaji mda na mazingira kurudi ulikotokahhahaa umesema kweli kAis fulan lakin had unikague mie diary yangu na ww u msafI .. kias gan!msikimbilie kusema mnataka kuoa wake vichwa smart kumbe wewe mume ndo BOGUS!jitathimini pia na ww km unafaa kuitwa MUME!
Na kwann unikague maisha yangu ya nyuma! REMEMBER EVERYBODY HAS A PAST!
hhahaa umesema kweli kAis fulan lakin had unikague mie diary yangu na ww u msafI .. kias gan!msikimbilie kusema mnataka kuoa wake vichwa smart kumbe wewe mume ndo BOGUS!jitathimini pia na ww km unafaa kuitwa MUME!
Na kwann unikague maisha yangu ya nyuma! REMEMBER EVERYBODY HAS A PAST!
Hahaa hapo ni zaidi ya hela ya makinikiaUngeona navyotabasamu hapa kama nmechukua hela yangu ya makinikia...kweli unajua kuuteka moyo wangu
Kweli mpnz?!...mtt wewee mbona nasikia raha sanaaaHahaa hapo ni zaidi ya hela ya makinikia
Haswaa ndo kikubwa kinachotakiwa[emoji1]Kweli mpnz?!...mtt wewee mbona nasikia raha sanaaa
Haswaa ndo kikubwa kinachotakiwa[emoji1]
[emoji12][emoji7][emoji39]
Ukiona dalili zifuatazo ujue mke, mume/ mpenzi wako ni BOMU. Kama umeshaoa hakuna namna inabidi tu upambane na hali yako. Kama hujaoa hii thread yaweza kuwa kivunja uchumba.
1) Ukiona mtu ambaye (1/3) ya matumizi yake ya mwezi ni kwenye cosmetics, mavazi, mapambo, viwanja na mengine yafananayo.
Humu JF mabomu wamejaa kibao. Nitarudi baadae...
Mke / mpenzi mzuri kimwonekano wa nje naturally na yule aliye smart kichwani hawezi kufanya ( 1/3 ) ya matumizi yake kwenye maplastics. Ukiona anatumia muda mwingi kwenye hayo mambo ujue
--- Hajikubali alivyo.
--- Hana focus yeyote kwenye maisha huyo.
Kuna msemo unasema " TELL ME YOUR EXPENDITURE AND I'LL TELL WHO YOU ARE."
2) Angalia " nature " ya stori zake.
Mwanamke / Mwanaume ambaye stori zake ni kusengenyana muda wote, kuongelea maisha ya juu bila mpango wowote wa kuyafikia, movie, asiye pitwa na matukio ya kina Sepenga, viwanja ,
Unahitaji huruma za Menyezi Mungu ukioa / kama umeshaoa huyo mwanamke / mwanamume.
Wanasema " KINACHOMTOKA MTU NI SEHEMU TU YA KILICHOPO AKILINI." Kwa maana hiyo
kama anaongea pumba huko kichwani ndo zipo madebe na madebe ya pumba.
Mpime katika story 10 alizokupa, kaongelea jambo gani.? Lina mashiko.?
3) Angalia tamaa zake ziko wapi?
Usipanic akimtamani mwanaume / mwanamke mwingine kando ya wewe mkiwa wote,
lakini jiulize mtu anayemtamani ni wa aina gani.? Yuko smart kichwani.?
Angalia pia na tamaa zake zingine ziko kwenye mambo ya nature gani.?
Wanasema " HUMAN BEHAVIOUR FLOWS FROM THREE MAIN SOURCES : DESIRE, EMOTION AND KNOWLEDGE. "
4) Angalia company yake ni kina nani.?
Angalia huyo mwanamke / mwnamume anaongozana na watu wa namna gani.?
Kama ukishindwa kumsoma yeye ni wa namna gani kwa ku fake akiwa mbele yako, wasome marafiki zake . simple as that. Ana hang na watu gani?
" SHOW ME YOUR FRIENDS AND I TELL YOU WHO YOU ARE ".
Ukishaona company yake ni MABOMU ya machozi yote andaa machozi kijana mkishakuwa
pamoja ndani ya nyumba. Wakiwa ni watu wenye fikra pana, hawana vijitabia vya ajabu ajabu
chukua dodo hilo chini ya mparachichi.
5) Fanya kila njia muibie " diary " kama anayo.
Siri zote za mtu hujificha humu kama ana vijitabia vya kuandika andika.
Wanawake hasa hujisanua humu kuliko hata kwa marafiki zake wa karibu. Hata tabia za marehemu kama hazijulikani husomwa humu diaries. Utakachokikuta humu ndivyo alivyo in 99%.
Achana na mambo ya tracking za simu, usihangaike mno, hii ni njia rahisi sana kumjua mtu. Hata background ya maisha yake utaikuta humu kama huijui.
6) Choose carefully career ya mtu wako.
Ndege wanaofanana huruka pamoja. Hapa ndipo wengi wananipiga mawe, na kunivurumushia
mijitusi mikubwa mikubwa. Na mimi wala siikimbii ID yangu
Wanasema " MARRY PRETTY WOMEN OR UGLY ONES. SHORT ONES OR TALL ONES, BLONDES OR BRUNETTES. JUST, WHATEVER YOU DO, DON'T MARRY A WOMAN WITH A CAREER WHICH DOESN'T MATCH WITH YOURS".
Somebody's career defined his/her dreams trust me.
NB. Wengi waume kwa wake mnachagua elimu ya kwenye makaratasi kama kigezo sahihi cha kuchagua mwenza. Trust me kwa wengine mnapotea, tena yaweza kuwa majority. Ustaarabu, ndoto za mtu, na tabia zake haziko kwenye vyeti.
OVA.