Dalili ya mwanamke anayekutaka kimapenzi ni ipi?

Dalili ya mwanamke anayekutaka kimapenzi ni ipi?

[emoji23] [emoji23]
be2c771b34cd78a59e56e4c18c7677dd.jpg
 
Mwanamke kama kakupenda dalili zake ni hizi

1kupenda kuwa karibu na wewe kupiga story muda mrefu
2Hupenda kukupa vijizawadi
3Anapozungumza na wewe hupenda kukutizama usoni na hutabasamu
4Huvaa nguo zenye kutega
Namba nne hariri mkuu
 
Mwanamke ambaye anakutaka kimapenzi
1. Hucheka pasipo sababu akikuona
2. Huvaa nguo za kimitego uwapo karibu
3. Huanzisha mada zihusuzo mapenzi au huweza kuzungumzia mahusiano yake yaliyopita
4. Hukusifia mara kwa mara
5. Kukusogelea mwilini
6. Kukutania kuwa huwezi kumfikisha mkiwa sita kwa sita lengo utake kwenda kuonyesha unaweza
Whooo-oouhp
 
Waje akina dada au wanawake wakujibu vizuri.
 
Ningependa kufahamu dalili ya mwanamke kukutaka kimapenzi ni zipi maana kukuambia moja kwa i kufunguka.
Shule mmefunga lini??? Jisomee kwanza mwanangu hayo mambo utayajua tu automatically nikutakie usomaji mwema
 
Mwanamke ambaye anakutaka kimapenzi
1. Hucheka pasipo sababu akikuona
2. Huvaa nguo za kimitego uwapo karibu
3. Huanzisha mada zihusuzo mapenzi au huweza kuzungumzia mahusiano yake yaliyopita
4. Hukusifia mara kwa mara
5. Kukusogelea mwilini
6. Kukutania kuwa huwezi kumfikisha mkiwa sita kwa sita lengo utake kwenda kuonyesha unaweza
Mi Nafikiri Umemaliza Mwenye Swali Labda
 
1.kukusifia
2.kumponda demu wako
3.kupenda uwepo wako
4.kujisifia anajua mavituz
5.kuchukia ukimuuliza Kuhusu mpenz wake.
6.kupenda kuchart na wewe
7.kujitoa Mara zote kwa ajil Yako
8.kufuatilia in Box yako
9.kuchukia akikuona Umekaa na binti
10.ujiskia aman na furaha tele akikuona.
 
Anapenda kuwa karibu na ww muda mwng, ukiwa mbali atakupgia au hata kutuma msg.. km mm ninavyompenda kuna kijana fulan hapa jf lkn anajifanya hataki kunielewa[emoji38]
 
Mwanamke ambaye anakutaka kimapenzi
1. Hucheka pasipo sababu akikuona
2. Huvaa nguo za kimitego uwapo karibu
3. Huanzisha mada zihusuzo mapenzi au huweza kuzungumzia mahusiano yake yaliyopita
4. Hukusifia mara kwa mara
5. Kukusogelea mwilini
6. Kukutania kuwa huwezi kumfikisha mkiwa sita kwa sita lengo utake kwenda kuonyesha unaweza
Asee kumbe nlikuwa sifahamu maana Dah nilitegwa Sana Sema nlikuwa sielewi, nakumbuka miaka miwili iliyopita mtoto wa shangazi yangu tulipokuwa tukikaa sitting room alikuwa akikaa vibaya mpaka naona nguo ya ndani,Alafu ananiangalia usoni bila aibu bac mm siku hyo niliona aibu ikabidi tu ninyanyuke niondoke bac tangia siku nikawa sikae nae karibu
 
Anakurembulia macho kila akikuona. Na kutaka kusema nawe.

Ningependa kufahamu dalili ya mwanamke kukutaka kimapenzi ni zipi maana kukuambia moja kwa moja hawezi kufunguka.
 
Ningependa kufahamu dalili ya mwanamke kukutaka kimapenzi ni zipi maana kukuambia moja kwa moja hawezi kufunguka.
Aibu, woga, kuuliza maswali ambayo majibu anayo, kujichekelesha
 
Back
Top Bottom