This is major stereotyping!
Tatizo siyo nyimbo za taarab.
Kama kuna tatizo basi ni tatizo la mtu na maadili yake lakini si nyimbo za aina au namna fulani.
Hivyo sioni uhusiano wa ustahifu/mwenendo mwema (decency) na taarab.
Mwanamke anaweza akamwimbia mumewe taarab na bado akawa mwenye uadilifu mkubwa sana kuliko anayemwimbia mumewe nyimbo za injili.