Najua kuna vichwa humu ambao mnaweza kulifanunua suala hili hivi inakuwaje unakutana na mtu mwanamke au mwanaume ambaye hamjaonana hata cku moja wala hamjuani alaf anakuangalia sana lakini unapomuangalia wewe yeye anageuka upande mwingine. wadau mnasemaje kuhusu hili?