Dalili nyingine ya umasikini: "Weka chips za kushiba"

Dalili nyingine ya umasikini: "Weka chips za kushiba"

Mimi kula chipsi inatokea nikizimiss tu au njaa inapiga halafu home mbali kwaiyo natuliza tumbo kidogo ili shughuli nikaimalizie home. Huwa silagi chipsi kwa lengo la kushiba na mara chache ninapokula lazima niunganishe na parachichi kwa ajiri ya kufyonza mafuta maana sipendi kunenepa. Kitu ambacho kimenishinda kabisa kula ni kuku wa boiler, naona hawana radha kabisa yaani kama nakula sponchi
 
Yaan wanaouza vyakula wanapata shida sana

Au deli la maandaz mtu anaanza kuchagua eti apate andazi kubwa,wakat mpishi kayakata kwa size sawa,afu unataka kubwa kwamba ndo utashiba milele

Migahawan sasa wamama wa watu wanateseka sana
 
Back
Top Bottom