Yaah najua mkuu naona inanisaidia usiku ofcoz ndo Mwili unajijenga sana.. Ila naona mchana ni vizuri kwangu.. Maana kulala njaa sio mchezoSidhani Kama itakusaidia sana Mkuu. Mchana kula vizuri.... Usiku kula Matunda pekee .
Itakua no 3 eeeh ?Namba 1 na 5 siyo za lazima kutokea. Ila kuna namba zinanihusu hapo ila nishaanza mpango mkakati wa 2019 kudhibiti hili tatizo hasa namba nne kutoka kwa majirani
Ndio hivo mkuu,Kama una hizo dalili kimbia haraka gym ukapate msaada wa haraka[emoji1787][emoji1787][emoji1787],,,hii point Muhimu sana
Nimekuelewa Mkuu. Unahofu ya kukosa kabisa nguvu za kucheza mechi za muda hiyo. Nimekupata Mkuu. Kama ratiba uliyonayo inakusaidia .... It's well and Good.Yaah najua mkuu naona inanisaidia usiku ofcoz ndo Mwili unajijenga sana.. Ila naona mchana ni vizuri kwangu.. Maana kulala njaa sio mchezo
Haa ha..yaah mkuu! Ukila matunda tu ndoa itayumbaa...Nimekuelewa Mkuu. Unahofu ya kukosa kabisa nguvu za kucheza mechi za muda hiyo. Nimekupata Mkuu. Kama ratiba uliyonayo inakusaidia .... It's well and Good.
Daah. Mbona kama unanisema Mimi.Ukipanda ngazi tu ukiongeleshwa na mtu unaongea unahema
Kwani na we unacho?Kitambi?
Kuanza Kutembea Kibosi Bosi Nayo Ni Dalili Ya Kunenepa!
Mangi kitambi natoa wapi?Kwani na we unacho?
Hili la kuanza kuitwa bonge ni tatizo la wengi sanaNamba 1 na 5 siyo za lazima kutokea. Ila kuna namba zinanihusu hapo ila nishaanza mpango mkakati wa 2019 kudhibiti hili tatizo hasa namba nne kutoka kwa majirani
Daah. Mbona kama unanisema Mimi.
Kutokula mchana hakutokusaidia endapo unapokula huzingatii chakula ulachoSili mchana siku hizi kukwepa maneno ya Mbona umenenepa sana..Kila ninaekutana nae hakuna kipya zaidi ya hilo swali