Dalili Kuu za Mlevi Anayekata Network

Dalili Kuu za Mlevi Anayekata Network

Aibu huwa inaenda field kwanza...! Maneno mazito mazito huchomoka hata mbele ya baba/mama mkwe/mke/watoto/ndugu/jamaa/marafiki na viumbe vingine!
 
Aliingia akiwa hajui kucheza mzk lakin zikianza kukolea yeye ndo anakuwa super nyamwela, na kuimba nyimbo zote za kilingala kama yeye ndo bileku mpasi
 
hii yenyewe kabisa aisee
 
Aibu huwa inaenda field kwanza...! Maneno mazito mazito huchomoka hata mbele ya baba/mama mkwe/mke/watoto/ndugu/jamaa/marafiki na viumbe vingine!

hii imemtokea cousin wangu majuzi
 
Mnayoyasema ndo nayaona,kuna mzee hapa kibar cha mtaani ambacho anakimilik amelewa,ameamua kutoa offer tuu,nadhan stock itaisha withn a day
 
sifa kuu ya mlevi ni kujua dalili kuu za mlevi akiwa amelewa bcoz practise making perfect
 
Mnayoyasema ndo nayaona,kuna mzee hapa kibar cha mtaani ambacho anakimilik amelewa,ameamua kutoa offer tuu,nadhan stock itaisha withn a day
huenda amesoma huu uzi
 
akikumbuka mambo ya zamani anaanza kulia, mi kuna jamaa yangu akilewa tu hapo baa utafikiri pametokea msiba analia mpaka unaweza kumramba makofi.
 
Huyo anakunywaga konyagi bila shaka!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Back
Top Bottom