ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 948
- 639
Hata angekunya dhahabu kilo moja moja ningeachana naye,mimi ni zaidi ya kila kituKuna watu mna mioyo ya kung'ang'ania...hivi mtu umempigia amekujibu nyodo au kakukaushia unaendelea kumtafuta wa kazi gani?au huyo kiumbe huwa anakunya noti za dollar mia mia?
Sent using Jamii Forums mobile app