Dalili 10 kwamba mwanaume uliyenaye anakaribia kukuacha/kashakuacha

Unforgettable

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
5,273
11,773
(1) Anawasiliana, anatamani na kuongea kimahaba na wanawake wengine mbele yako. Wala hajali upo, hajali kuwa anakuumiza, hajali kama unahisia, atawasiliana na wanawake wengine, ataongea nao na kuongea maneno ya kukuumiza huku akikudharau mbele yao. Dada Unaachwa!

(2) Hakuchukulii siriasi tena; Yaani unaweza kuongea kitu wala hajali, mnaahadi hatokei na wala haombi msamaha, kuna kitu cha muhimu kinachokuhusu wewe wala hajali na haumizi kichwa, ukiongea hakuchukulii siriasi atakebehi na kukashifu kila unachoongea. Dada Unaachwa!

(3) Hakupigii tena simu wala kujibu meseji zako; Zamani ukibeep tu anapiga, lakini sasa wala hata hajali na ukipiga atakuambia nitakucheki ila ndiyo nitolee. Meseji ndiyo hajibu, yuko online au kwenye group, anacomment post ila wewe wala ni kama vile haupo. Dada Unaachwa!

(4) Hakuonyeshi Tena Mahaba; Mambo ya kushikana mikono kama zamani hakuna, hataki hata kuongozana na wewe na wala kukushika sehemu alizokuwa anakushika awali, anakukwepa kwepa na mbele ya marafiki anajifanya kama vile si mtu wake. Kama alikuwa anafanya hayo mambo awali na sasa hafanyi… Dada unaachwa!

(5) Hataki tena kufanya mapenzi na wewe; Yaani imekuwa kama adhabu, mnaonana lakini wala hakutaki tena. Zamani alikuwa akikuona tu mziki wake unachanganyikiwa ila sasa ni kama unalazimisha. Hata kama ukiomba mechi ukifika hakuna rommance wala kushikana kama analima vile kanyaga twende anakuacha anaendelea na mambo yake. Dada Unaachwa!

(6) Anakuambia nataka kuwa peke yake “More Space” Kuna mambo anafikiria msionana. Mkipanga anakuambia atakutafuta na wiki inaisha hakutafuti. Dada kama una mwezi hujaonana na mpenzi wako mko sehemu moja anakupiga chenga wewe ndiyo umeshachwa. Mwanaume anamkwepa mwanamke akiwa na mwingine anampa huduma zote na si vinginevyo hivyo kama anataka space Dada Unaachwa!

(7) Hataki kuongelea tena mambo ya mapenzi; Zamani mlikuwa mkikaa kidogo anazungumzia maisha, watoto, sijui mapenzi yenu, mahusiano yenu na mahaba. Ila sasa wala hataki, ukiongelea hayo mambo anabadilisha mada, kukasirika na hata kuongea. Dada unaachwa!

(8) Hakusifii tena; Kuna wale wanaume ambao hata hawana hayo mambo, ila kama alikuwa anajua umevaa nguo mpya, umesuka ana kusifia umefanya kitu kizuri anakusifia ila sasa hata ukipendeza vipi hasifii ni kama vile hata hakuoni na hata ukimuambia wala hajali anajifanya yuko bize na mambo yake. Dada Unaachwa!

(9) Hakuheshimu tena; Zamani alikuwa akikuheshimu wewe kama mwanamke, anaheshimu kazi yako na ndugu zako, lakini sasa wala hajali, anakudharau anaweza kukudhalilisha mbele za watu na asijali, akakuona unadhalilika na wala hajali na kila wakati ni kutafuta neno hata moja la kukuudhi. Dada Unaachwa!

(10) Ameacha kuongelea mambo ya ndoa: Ndiyo kuna ambao wala hawakuwa wakizungumzia hayo awali achana na hao. Ila kuna yule ambaye kila siku alikuwa ni namna akikuoa, namna sijui mkifanya hivi, mipango yake yote ilikuwa inakuhusiha na wewe.
FB_IMG_1670066154738.jpg
 
(10) Ameacha kuongelea mambo ya ndoa: Ndiyo kuna ambao wala hawakuwa wakizungumzia hayo awali achana na hao. Ila kuna yule ambaye kila siku alikuwa ni namna akikuoa, namna sijui mkifanya hivi, mipango yake yote ilikuwa inakuhusiha na wewe.View attachment 2463330
Pamoja na kwamba nampenda mpenzi wangu ila hapo namba 4 mambo ya kushikana mikono barabarani tukiwa tunaongozana hapana kwa kweli
 
Mkishaachwa mnakuwa MA Motivational speaker
 
hahaha mpaka anafanya yote hayo wewe unakua umezubaa tu au

Inshort mie ukianza fukunyuku hunioni tena

I value my peace than anything else😍
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom