Natafuta dalali mwenye
uzoefu na network upande wa kariakoo. Nahitaji duka/frem. Naomba kama
wewe ni dalali au unaye dalali unayemfahamu mwenye kushughulika Kariakoo
nipe contacts zake hapa. Ukiona noma kuziweka namba zake adharani, basi
naomba ni-pm. Ahsante sana.