Daladala yaua na kuacha wengine majeruhi Kimara Suka

Daladala yaua na kuacha wengine majeruhi Kimara Suka

Zyamwelele

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
405
Reaction score
155
Basi lilikuwa linatokea Mbezi kuelekea Ubungo!! Ajali imesababishwa na harakati za dereva kutaka kumkwepa jamaa wa bodaboda. Sina picha ya ajali walio eneo la tukio wataleta picha!!
 
Asante kwa habari ila picha zingekuwepo ndio ingekuwa safi zaidi....
 
sasa imeuwa abiria wa dala dala au dereva wa boda boda?so sad
 
sasa imeuwa abiria wa dala dala au dereva wa boda boda?so sad
Wakati mwingine huwa nashangazwa na akili za madereva. hivi kati ya dereva wa bodaboda mmoja na abiria zaidi ya kumi nani afadhali aaa.........siwezi kumalizia sababu ya roho ya ubinadamu. ila kama kuchagua nadhani ningemchagua dereva wa bodaboda ili niokoe majority..
 
sasa imeuwa abiria wa dala dala au dereva wa boda boda?so sad

kafa abilia wa daladala na majeruhi na majeruhi ni abilia wa daladala!! Bodaboda kakimbia imeokotwa kofia yake tu.
 
Kama una uhakika usiweke habar hacha UCCM kwan wasingeleta bodaboda c vibaka wangekuwa wengi.sema cc waendeshaji ndo we hu.
 
poleni majerui ila kuna kitu kinashangaza habari ni ajali xx ccm unausikaje hapo au mtoa roho anatokea ccm tuache upuuzi
 
Wakati mwingine huwa nashangazwa na akili za madereva. hivi kati ya dereva wa bodaboda mmoja na abiria zaidi ya kumi nani afadhali aaa.........siwezi kumalizia sababu ya roho ya ubinadamu. ila kama kuchagua nadhani ningemchagua dereva wa bodaboda ili niokoe majority..

Mkuu usiongee ivyo,maana kila Binadamu hapa duniani ana umuhimu wake.Hata huyo Bodaboda naye pia anaumuhimu wake.Eeeh! Mungu tuepushe na hili janga la ajari.AMEN.
 
Daah! aisee hawa bodaboda inabidi sasa wapewe elimu ya kutosha.
 
Back
Top Bottom