Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daladala yaanza kazi km kawa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, May 4, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,967
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Baada ya mchosho wa takrban masaa manne hatimaye Sumatra wakubaliana na masharti. Na jamaa wanachemka kama kawa vile
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,612
  Likes Received: 1,000
  Trophy Points: 280
  good!...maake muda si mrefu ntafunga virago na kuelekea zangu home,......
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,942
  Likes Received: 2,488
  Trophy Points: 280
  jamani hizi habari zisizo na kichwa wala kiuno huwa mnazitoa wapi?.....daladala ya wapi?
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  May 4, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 5,933
  Likes Received: 1,008
  Trophy Points: 280
  Preta inaelekea mtoa mada na Liverpoolfc wanaelewa !
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,942
  Likes Received: 2,488
  Trophy Points: 280
  pole pole ndugu.....sio kila habari inasomwa na kila mtu humu ndani.......so ni vyema ukatoa habari iliyokamilika ili kila mtu aelewe......
   
 6. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 453
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hii sio face book wajameni....................Unasoma topic, unajiuliza maswali mengi.....mada iko hewani saana. Dah! kama ilivyo watu ni wavivu wa kusoma now Uvivu mpaka kuandika.....................mwisho hata kufikiri inaenda kuwa TATIZO
   
Loading...