Dala dala laivu

hahahhaah, hiyo kwenye picha ya kwanza unakuta mdada kavaa nguo fupi afu anaanza kukivuta si ukiache tu kama kilivyo.
 
hahahhaah, hiyo kwenye picha ya kwanza unakuta mdada kavaa nguo fupi afu anaanza kukivuta si ukiache tu kama kilivyo.

Siku hizi dala dala ni kero ukipata siti,...ila ukisimama lol full shangwe.


Mlio na magari binafsi unakosa uhondo kweli
 
kha kwa waopenda hayo mambo ndo raha .
 
kha kwa waopenda hayo mambo ndo raha .

haha,shauri zako.
Kuna watu yaani wako tayari kusimama mda wote bora tu
wawe in "contact"...................
 
Loooooolz, Haraka haraka haina Baraka Anti:hat:
 
Hivi huyu mchoraji mbn aliacha? Majira ya Jumapili huwa nasoma hapo tu.
 
Pale anapo ingia ndani ya gari mtu anae chukua siti ya watu wa3.....



Na unapo anza kudanganya huku ukijiona mjaaaanja,...............

 
jamaa amekuwa mkali baada ya kuambiwa atalipiwa, sijui ni kwa vipi watu wengine hukosa kujiamini.
 
Unapokuwa unadaiwa na anae kudai anakuja kwenye gari uliyomo.

 
Vipi ukidhulumiwa hela yako?una fanyaje ati?

 
Inasemekana madereva ndio waizi wa wake za watu sana.

 
kwa kweli nimecheka loh mbavu zangu jamani, thanks for adding my days in this world
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…