Daktari wa Vichaa

Daktari wa Vichaa

ha ha ha

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
638
Reaction score
84
Daktari mmoja baada ya kuwapa tiba wagonjwa wa akili, akaamua awape jaribio kuona kama wamepata nafuu. Hali ikawa hivi;
Daktari akawaingiza darasani kisha akatoa mtihani. Kwanza akachora mlango ubaoni kisha akauwekea kitasa, halafu akawaambia waanze kutoka kupitia mlango aliouchora. Woote, kasoro mmoja, wakainuka wakaanza kugombania kutoka. Daktari kugeuka akakuta kuna mmoja kakaa tuliiiiiiiiiiii. Akasema afadhali mmoja kapona. Daktari akauliza; Vipi mbona we hutoki? jamaa bila kusubiri akajibu mi nawashangaa hao wanagombania wakati funguo ninayo huku...
 
Acha uongo huyo daktari alitoka wapi wakati wapo kwenye mgomo?
 
Acha uongo huyo daktari alitoka wapi wakati wapo kwenye mgomo?

Haa haa haaaa! mkuu umenichekesha kweli kweli, eti ....atoke wapi wakati madaktari wapo kwenye mgomo? du hii kali aisee!
 
Back
Top Bottom