JAMII-ASM
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,305
- 524
Jina lake kule South Afrika anaitwa Dr Death..kutokana na sifa na umaarufu mkubwa aliowahi kujijengea wa kuua watu weusi kwa njia ya silaha za maangamizi CBW.. alizozifanyia utafiti katika maabara yake inayoitwa Roodeplaat Research Laboratory RRL..kupitia msaada mkubwa wa Israel.
Dr. Basson alitumia taaluma yake kutengeneza maradhi ya maambukizi kama vile Anthrax,Marbug na hata Ebola.
http://www.globalresearch.ca/secret...ed-ebola-in-south-africa-in-the-1980s/5408896
Katika utafiti ulioitwa PROJECT COAST aliwahi kuwaangamiza wapiganaji wa Namibia SWAPO wapatao 200 kwa kuwafanyia utafiti na kuwaua na baadae kuwatupa katika bahari ya Atlantic.
Hii ni tovuti ya taasisi ya Nelson Mandela ikielezea unyama alioufanya wakati wa Apartheid...''It was here, and at a company in Midrand, called Delta G Scientific, where researchers worked to find a vaccine that could be used to make black women infertile''
The presence of the past: re-engaging the legacy of South Africa's chemical and biological warfare programme
Hapa chini ni video akikiri kushirikiana na mataifa mbalimbali kutengeneza maradhi ya kupunguza kizazi cha watu weusi.
BBC News | Africa | Apartheid government sought germs to kill blacks