MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Tulishazoea kwa Wahandisi kuteuliwa kushika nafasi kama hizi!
Anaitwa Philip Nyimbi(DAS-kilindi) Huyu ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya binadamu(Medicali specialist). Huku sasa ni kutumia taaluma vibaya, tena sana.Hivi hata huyu ataifurahia nafasi yake kweli huyu?Si hata angeenda kusoma HRM tu? Yaani serikali inatumia gharama kubwa kusomesha wataalamu hawa lakini haya ndio mahitaji yake kweli?
Kwa hali hii tutegemee madaktari kutoka RWANDA waje watutibu huku.