Daktari natafuta kazi

Komaa utapata tu, nikweli ukisema unatafuta kazi daktari humu jamii forum watu watakushangaa ila ukweli ndiyo huo, wale WA mwaka Jana walio malzia mwaka wao wasita yaani internship wapo mitaani, wa mwaka huu tayari wapo mitaani ,hivyo mwenye kumsaidia kupata nafasi amsaidie tu daktari huyu asaidie wagonjwa

Makusanyo ya TRA yameongezeka Trion 1.15/= mwezi Oct!
 
Mrejesho:Baada ya kuhangaika kutafuta kibarua hatimae mwezi huu february nimepata sehemu hapa hapa Morogoro,nashukuru sana kwa michango yenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom