kituli one
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 410
- 313
haha unaweza kujiajiri wenio wengi ni makanjanja wanaishia kupata pesa kwa kuchoropoa mimba hahahaKwa yeyote anayehitaji daktari Morogoro mjini au sehemu yeyote,nipo natafuta kazi,nina uzoefu wa mwaka 1 baada ya kumaliza mafunzo ya vitendo,ni mchapa kazi na naweza fanya kazi bila kusimamiwa,kwa mawasiliano zaidi njoo pm
Mi daktari wa binadamu kabisa miaka 5 darasani na 1internship,serikali ndo hivyo haina uhaba,tupo tu mtaaniKweli now maisha yamekuwa magumu,mpka daktari anatafuta kazi au wewe ni daktari wa mifugo maana kama ni wa binadamu kuna sehem kuna daktari mmoja tu ina maana serikali wameshindwa kukuajiri?
Siwezi kufanya hivyo ni kinyume na taaluma yangu mkuuhaha unaweza kujiajiri wenio wengi ni makanjanja wanaishia kupata pesa kwa kuchoropoa mimba hahaha
Registered MDQualification yako ni ipi
Ahsante mkuuKomaa utapata tu, nikweli ukisema unatafuta kazi daktari humu jamii forum watu watakushangaa ila ukweli ndiyo huo, wale WA mwaka Jana walio malzia mwaka wao wasita yaani internship wapo mitaani, wa mwaka huu tayari wapo mitaani ,hivyo mwenye kumsaidia kupata nafasi amsaidie tu daktari huyu asaidie wagonjwa
Mkulu vipi na huo Mwandiko au umesoma school moja na bwana yule wa PHD? Kwanini Waziri wa Elimu hafuti Kiswahili Mashuleni maana Dunia hii English ni lazima kuifahamu vizuri...Mm ni medical offocer pia
Niko hapa morogoro
Nilitaka niku unganishe sehemu flani hivi pricate
Dah kweli now elimu ya bongo ngumu,miaka mitano class bado unasugua benchMi daktari wa binadamu kabisa miaka 5 darasani na 1internship,serikali ndo hivyo haina uhaba,tupo tu mtaani
Nina temporary registration mkuuIna maana uliacha kazi ,
Vipi tena unatafuta kazi ??
Ulipata vipi registration ?
Nipo bigwaUpo morogoro sehemu gani ?