Daktari natafuta kazi

Daktari natafuta kazi

kituli one

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
410
Reaction score
312
Kwa yeyote anayehitaji daktari Morogoro mjini au sehemu yeyote,nipo natafuta kazi,nina uzoefu wa mwaka 1 baada ya kumaliza mafunzo ya vitendo,ni mchapa kazi na naweza fanya kazi bila kusimamiwa,kwa mawasiliano zaidi njoo pm
 
Kweli now maisha yamekuwa magumu,mpka daktari anatafuta kazi au wewe ni daktari wa mifugo maana kama ni wa binadamu kuna sehem kuna daktari mmoja tu ina maana serikali wameshindwa kukuajiri?
 
Kwa yeyote anayehitaji daktari Morogoro mjini au sehemu yeyote,nipo natafuta kazi,nina uzoefu wa mwaka 1 baada ya kumaliza mafunzo ya vitendo,ni mchapa kazi na naweza fanya kazi bila kusimamiwa,kwa mawasiliano zaidi njoo pm
haha unaweza kujiajiri wenio wengi ni makanjanja wanaishia kupata pesa kwa kuchoropoa mimba hahaha
 
Mbona hapa morogoro sehemu za kufanya kazi nyingi sana braza
 
Komaa utapata tu, nikweli ukisema unatafuta kazi daktari humu jamii forum watu watakushangaa ila ukweli ndiyo huo, wale WA mwaka Jana walio malzia mwaka wao wasita yaani internship wapo mitaani, wa mwaka huu tayari wapo mitaani ,hivyo mwenye kumsaidia kupata nafasi amsaidie tu daktari huyu asaidie wagonjwa
 
Ahsante mkuu
 
Ina maana uliacha kazi ,
Vipi tena unatafuta kazi ??

Ulipata vipi registration ?
 
Nahisi watu wengi wataukimbia mji... Nilijua tusiosoma tu ndio tuna hali mbaya kumbe Namba inasomeka kote kote dah! Sometimes napata feel za kufa kufa... Mwokozi nitoe roho niepuke hili balaa Maisha nilichezea sasa nalala njaa Chemsha bongo kabla hujazubaa utaduwaa
 
Mm ni medical offocer pia
Niko hapa morogoro
Nilitaka niku unganishe sehemu flani hivi pricate
Mkulu vipi na huo Mwandiko au umesoma school moja na bwana yule wa PHD? Kwanini Waziri wa Elimu hafuti Kiswahili Mashuleni maana Dunia hii English ni lazima kuifahamu vizuri...
 
Si nilisikiaga nyie mnakimbiliaga Botswana sasa wewe unangoja nini kukimbia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom