Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 333
mgonjwa: dokta nisaidie nna tatizo la kusahausahau
dokta: sawa, hilo tatizo limeanza lini?
mgonjwa: tatizo gani?
dokta: sawa, hilo tatizo limeanza lini?
mgonjwa: tatizo gani?