IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,549
- 2,687
Dkt. Jack Kevorkian au Dr. Death Alizaliwa 26.5.1928 US na Kufariki 3.6.2011 (83), Alikuwa ni 'Pathologist' na 'Euthanasia'. Pathology ni Elimu ya Kuyajua Madawa, Kujua Chanzo cha Ugonjwa na Dawa za Kuutibu, ni sawa na Udaktari Lakini hii Imeenda mbali zaidi.
'Euthanasia' ni Utaalamu wa Kukatisha Maisha ya Mtu Bila Maumivu, 'A Good Death', Kufa bila Kuumia, Kuna Kipindi Mgonjwa Anateseka hivyo Anatakiwa kufa, Hiivyo Unamchagulia Kifo kisicho na Maumivu, Mtaalamu wa mambo haya ndo Anaitwa 'Euthanasia' kwahivyo Huyu Bwana Alikuwa Mtaalamu wa Mambo haya.
Elimu yake Alikuwa Akiitumia Vibaya, Utaalamu huu Alikuwa Akiutumia Kukatisha Maisha ya Watu bila sababu, Alikatisha Maisha ya zaidi ya Watu 130 Kupitia Aina hii ya Kifo Aliyosema kuwa Alikuwa Akiifurahia.
Akiwa anafanya kazi Katika Hospitali yake, Alitenda Makosa hayo kati ya 1994 -1997 ambapo kwa Makusudi kabisa Alikuwa Akiwapa Wagonjwa Dawa au Sindano zitakazopelekea kifo chao muda Mchache baadae, Yani Ukinywa tuu hizo dawa basi Unamasaa Machache tu ya Kuishi
Mbali na Hilo pia Alipeleka Gari ya Wagonjwa kwa Fundi Kubadilisha Mfumo wa Seat za Kukalia na Kuweka Mfumo wake Ambao utamuwezesha Kuweka Sindano na Madawa ambayo Mtu Akikalia tuu Seat hizo basi Atakua hana Muda Mrefu wa Kuendelea Kuishi, zaidi ya Watu 130 Walifariki kwa Njia hiyo.
Alitoa Seat za nyuma na Kuweka Mashine mbili Alizozitengeneza mwenyewe chini ya Seat hizo, Akaweka Sindano zitakazoingiza Dawa mwilini mwa Yeyote Atayekalia kwa Kubonyeza Kitufe alichokuwa Anakikicontroll mwenyewe.
Alikuwa anasema 'Kufa ni Wajibu' hivyo hayo yote Alikuwa anafanya kama Sehemu ya Furaha kwake.
Mwaka 1998 Alikamatwa kwa Makosa haya na Akahukumiwa Kifungo cha Miaka 25 Jela huku kesi yake Ikipewa Hadhi ya 'Second-Degree Murder', Aliachiwa Huru June 1, 2007 kwa Msamaha wa Rais Akipewa Masharti ya Kutoonekana au Kuhusika Katika Kosa lolote la Mauwaji kwa Miaka Miwili.
Stori hii Imo katika Series ya 'Deadly Possesions' Ambapo humo Kuna Story 4 za Ukweli zilizowahi Kutokea
Source FM facts