Daktari mtoto wa wanyama huyooo

Daktari mtoto wa wanyama huyooo

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
10671256_705022319604672_6427979067616844373_n.jpg
 
Nyota njema huonekana asubuhi dua langu kwake aendelee hivyo iko siku itakuwa kweli
 
Duuh mbwa yuko serious kuliko daktari sijui ndo kusema anaumwa seriously au pozi la picha
 
Mungu bana! Waafrika na wazungu tu tofauti!
Mbwa wao na mbwa wetu, tofauti kubwa sana!
 
Mungu bana! Waafrika na wazungu tu tofauti!
Mbwa wao na mbwa wetu, tofauti kubwa sana!

Kuhusu hao wanyama na mengineyo, wenzetu walichagua kutumia akili zao na maarifa tangu zamani wakati wengi wetu huku kila siku bora liende na kumsingizia Mungu katuonea........
 
Back
Top Bottom