Bukayo jr JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 2,782 Reaction score 1,647 Sep 4, 2012 #1 Dada mmoja alipata matatizo wakati alipokuwa anakojoa na akawa anaona mambo mageni ikabidi aende kwa daktari na mazungumzo yalikuwa hivi: DADA😀aktari mi nikikojoa mkojo ukimalizikia uwa na rangi ya brown iliyokoza DOKTA:Mmm! Una mda gani umefanya mapenzi? Ama huwa unafanya mara ngapi kwa siku? DADA:Mara ngapi kwa siku??? Kwa kweli daktari mi hufanya mara mbili tu kwa mwaka! DOKTA: Okey! Hapo hamna ugonjwa ila hiyo ni KUTU
Dada mmoja alipata matatizo wakati alipokuwa anakojoa na akawa anaona mambo mageni ikabidi aende kwa daktari na mazungumzo yalikuwa hivi: DADA😀aktari mi nikikojoa mkojo ukimalizikia uwa na rangi ya brown iliyokoza DOKTA:Mmm! Una mda gani umefanya mapenzi? Ama huwa unafanya mara ngapi kwa siku? DADA:Mara ngapi kwa siku??? Kwa kweli daktari mi hufanya mara mbili tu kwa mwaka! DOKTA: Okey! Hapo hamna ugonjwa ila hiyo ni KUTU
M mzeelapa JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 1,124 Reaction score 408 Sep 4, 2012 #2 Huyo daktari anaendelea na mgomo baridi.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Sep 4, 2012 #3 duh...
unknown animal JF-Expert Member Joined Jul 18, 2012 Posts 337 Reaction score 51 Sep 5, 2012 #4 hahahahahahahahahahahahahahahah sasa hiyo kutu c lazima itolewe na daktareeeeeeeeee
Autorun JF-Expert Member Joined Mar 21, 2008 Posts 557 Reaction score 119 Sep 5, 2012 #5 Dah afu msasa wakutolea kutu anao daktar tu,,,,,, inabidi apigwe msasa tu
KML JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 861 Reaction score 134 Sep 5, 2012 #6 msasa wake utakua balaa uo
M MTENDAHAKI JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 4,013 Reaction score 1,448 Sep 6, 2012 #7 hahahahahahahah!