ndio maana ni vzr mwanamke ukishajijua ni mjamzito hata kama una malarea kaonane na specialist wa wanawake, ukienda kwa hawa ma general doctor lazma litakukuta la kukukuta...
No, yani vile vidonge vilizidisha ku bleed mana mimba ilikuwa imetoka, so alipaswa kupewa vidonge vya kusaidia kupunguza damu, sasa vile vikaongeza badala ya kupunguza