Daktari huyu ni muuaji

Umeongea vizuri mkuu watu hawajui tu lakini specialist ndio kila kitu anajua nini anafanya kwa mhusika
 
Hiyo ni dispensary huenda ya mtu binafsi,akiajiri wataalam hasa kuwalipa ataweza? Matokeo yake ndiyo haya. Mi.naona wajawazito wapendelee kwenda hospitali kubwa.
 
Hiyo ni dispensary huenda ya mtu binafsi,akiajiri wataalam hasa kuwalipa ataweza? Matokeo yake ndiyo haya.
Mi.naona wajawazito wapendelee kwenda hospitali kubwa.
Yap...it can be a solution
 
Muwewe alikuwa wapi?

Ulimtaarifu mumewe kuwa mkewe alitaka kupewa dawa za kuharibu ujauzito?

Hongera kwa ujasiri wa kuongozana na dada mwenye ujauzito ambao haujaanza kuonekana kwa macho na ukaokoa maisha ya kiumbe.

#Once a gentleman, always handsome.
 
Mumuwe hakuwa nae alikuwa peke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…