Daktari huyu alitaka kunibaka?

Daktari huyu alitaka kunibaka?

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
5,527
Reaction score
7,121
Inasikitisha sana. Siku moja nilienda katika hospitali fulani maarufu, katika nchi inayosifika kwa mengi mazuri, ili nifanyiwe "eye examination"

Nikaingia katika chumba cha daktari wa macho(ophthalmologist, if not optometrist). Nilifurahi kuona chumba chake kina vifaa vya kisasa vya upimaji wa macho kama vile Penlight, Slit Lamp (Biomicroscope), Tonometer, Fundus Camera...

Baada ya kumweleza daktari huyo kilichonipeleka pale, akaanza kuyachunguza macho yangu. Kisha akachukua penlight na kuanza kunimulika jicho moja moja. Akasogea karibu zaidi na mimi. Mkono wake wa kushoto akauzungusha nyuma ya shingo yangu na kunikumbatia huku akiendelea kumulika macho. Mimi nilitulia tuli tu kama maji mtungini. Lakini moyoni nikawa najiuliza: "hivyo ndivyo madaktari wa macho wanavyofanya eye examination?" Baadaye daktari akaiacha penlight yake akanikumbatia kwa mikono yote miwili, kisha akaniacha. Halafu akaniambia "macho yako hayana shida!"

Hebu niambieni nyinyi wazoefu wa kufanyiwa "eye exam", hivyo ndivyo madaktari wanavyopaswa kumshika mtu anayechunguzwa macho? Au huyu daktari alikuwa na lake jambo? Na angethubutu kugusa sehemu nyingine za mwili asingeisahau siku ile. Ningemkemea kwa Jina la Yesu, pepo la uzinzi limtoke. Hospitali nzima ingejua ameingia mtu asiye na mchezo na dhambi ya uzinzi.

Tujiepushe na uzinzi jamani. Wazinzi na waasherati hawataingia mbinguni. Mahali pao ni katika ziwa liwakalo moto na kiberiti.

1 Kor 6:9
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti."
 
optometrist sio dakrari rekebisha title
Optometrist is a doctor bwana, but not a medical doctor (M.D.).
An optometrist holds a degree called Doctor of Optometry (O.D.), not a Doctor of Medicine (M.D.). Optometrists are trained to:
  • Examine eyes and assess vision.
  • Diagnose and manage common eye conditions (e.g. dry eye, glaucoma, infections).
  • Prescribe glasses and contact lenses.
  • Offer pre- and post-operative care for some eye surgeries.
Anyway, hata kama daktari wa macho haitwi hivyo, lengo la mada umelifahamu. Jibu swali langu: "Hivyo ndivyo daktari wa macho anavyopaswa kumshika patient anayefanyiwa eye exam?"
 
Acha kuishi kwa presumption.Kama alitaka kukubaka ni nini kilimzuia?
 
Kwahiyo alikubaka au???
 
Optometrist is a doctor bwana, but not a medical doctor (M.D.).
An optometrist holds a degree called Doctor of Optometry (O.D.), not a Doctor of Medicine (M.D.). Optometrists are trained to:
  • Examine eyes and assess vision.
  • Diagnose and manage common eye conditions (e.g. dry eye, glaucoma, infections).
  • Prescribe glasses and contact lenses.
  • Offer pre- and post-operative care for some eye surgeries.
Anyway, hata kama daktari wa macho haitwi hivyo, lengo la mada umelifahamu. Jibu swali langu: "Hivyo ndivyo daktari wa macho anavyopaswa kumshika patient anayefanyiwa eye exam?"
shida yako umetaka kujifanya mkemia kwenye mada yakipuuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom