Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,101
- 2,610
Daktari wa moyo amefanyiwa sherehe ya kustaafu, ikatengenezwa picha kuuubwa ya moyo. Ikawekwa picha ya daktari katikati ya ule moyo. Mtu mmoja katika waliohudhuria sherehe akacheka sanaa. Kaulizwa sababu ya kicheko chake. Akajibu ''mimi ni daktari wa bawasili, na wiki ijayo nastaafu, picha yangu itabandikwa wapi''???